MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA ALL STARS MWISHO MWAMPAMBA,JANA NDANI YA STUDIO ZA TIMES RADIO.

Friday, October 22, 2010 1 Comments

Alijichukulia nafasi ya nne ikiwa ya kwanza ni UTI kutoka nigeria sio mbaya akaze buti tu hapa bongo.
Mwisho and I.

Babra kushoto kutoka mult choice na bonge.
Dj jd na mwisho.
Bi hindu nae kala shavu.
Baadhi ya watangazaji tukiwa studio.
HR helen mzava na babra.

Mzee wa swagga Aloy mapembe na mwisho.

1 comment:

  1. Hellen Mnzava kanenepaaaa halooo,bado uko na MR T.Hongeraaaaa

    ReplyDelete