HOONGERA RAFIKI YETU HELLEN MAMBO MAZURI HAYATAKI HARAKA UMESUBIRI MUNGU AMEKUPA UNACHOTAKA ISHALLAH MUNGU ATAKUJAALIA UTADUMU KWENYE NDOA YAKO.

Thursday, October 07, 2010 7 Comments


Mmependeza mashosti... kushoto ni matron Hawa utamtaka kwa kivazi na katikati ni bi harusi mtarajiwa Heleni na mwisho ni shostito Evelyn wamependezaje?sare ilikuwa pinki ya zain na nyeusi watu full kupendeza.


Mambo hayo.




Katika upande wa masomo Saida mama ya china ndani ya pozi.








Shughuli ilifika patamu pale kitu roho ina taka mtarimbo doro kutoka machozi band chezeaaaaa.




Dida kushoto na rafiki wa Salma Msamgi na kulia mama Mziray, Salma msangi katika pozi.


Unaruhusiwa kuduarika kama unalo.

Mashallah.


Mwanadashosti kivazini.

7 comments:

  1. wamependeza sana warembo

    ReplyDelete
  2. Dida naona umependeza mdogo wangu, kagauni kamekutoa

    ReplyDelete
  3. funika bovu mmependeza sana na hiyo colour jamani mlifaidi.

    ReplyDelete
  4. kulikucha dida umependezajeeeee kama kawaida yako

    ReplyDelete
  5. mpiga picha hajajua kupiga vizuri watu na sherehe iko sawa ila picha sio fresh dida bado picha zinakuangusha tafuta mpigaji mzuri samahani kwa hilo.

    ReplyDelete
  6. Picha bado hazina mvuto mamii!tafuta mpiga picha bomba au mcheki shamim au mama u turn akushauri zaidi!

    ReplyDelete