WASWAHILI HUSEMA KUSUTWA SUNA THUBUTU.
Kusutwa si suna bibi bali kujifedhehesha na siku zote unaambiwa ukiwa mbea usiogope kusutwa.
Watoto wa mjini wamechoka siku hizi mambo yote tarumbeta na shampeign inafunguliwa huku unasutwa kaa mkao wa kula wewe unayejifanya mdomo wazi kama kituo cho polisi.
Watoto wa mjini wamechoka siku hizi mambo yote tarumbeta na shampeign inafunguliwa huku unasutwa kaa mkao wa kula wewe unayejifanya mdomo wazi kama kituo cho polisi.
ah wewe dada noma haha tupe mambo nakuzimia kweli nikirudi bongo lazima nikutafute. ivi uko radio gani?
ReplyDeletemdau canada
nipo times fm mpenzi krb sana
ReplyDeletehaya haya sasa kichaa dida kapewa rungu nakufagilia unawapa live mambo unayaweza bibi eeeeeeeee krb kwenye libeneke
ReplyDeletemaneno unayoyasema yanawachoma wengi sana wape wavimba macho watajibeba zaina
ReplyDeleteHapa bidada na vijineno utatuvuta wengi kuja kutembelea blogu full ubunifu endelea na swaga za mipasho watakimbia kote tutajimwaga kwa dida weka neno kila wiki shoga tuelimike
ReplyDeletena mlivyo wambeya kawapata kweli Dida anawapa maneno yakwenda kuwachamba wake wa wanaume mnao waibia Dida mwenyewe mwizi mtupu wa wanaume za watu
ReplyDelete