UKIONA WANAKUJADILI UJUE WAMEKUKUBALIIIIIIIIII
Siku zote ukiona mtu anakujadili ujue amekukubali anashindwa kukwambia ukweli mtakufa na ngoma za masikio mwaka huu,usimuone mwenzio kafanikiwa roho inakunyongoroka kama nywele za kimasai ila mwakaa huu tutakwenda sambamba na ndio maana unaambiwa akumulikae kwa tochi mvizie kwa manati bibi eeee na uliona wapi maji ya vifuko yakauzwa hotelini mpoooooo.
Dida nimependa sana hiyo article ulivyoiandika..yaani nilikuwa naimagine upo hewani pembeni ya MIC unaongea..eti nywele za kimasai..haa..
ReplyDeletekazi nzuri endeleza blog yako
ha ha ha dida ulijuaje jamani wewe mtoto kama nimekutuma maneno kuntu yanawachoma hahaaaaaa
ReplyDeleteilo nalo nenoooooo wape dida maneno yako yananifanya niwatumie friends zangu wafungue blog yako watajibebaaaaa nakupenda sana dida na kipindi chako sanaa
ReplyDeletenimeipenda hiyo DA'DIDA, kuna watu hawaishi chokochoko, maneno kochokocho... - Laura
ReplyDeletemimi naomba dada kama unaweza uwe unatuwekea nyimbo haswa taarab hapa bloguni japo mara mojamoja na sie wa nje tuburudike, sina pa kupatia nyimbo mpya kwani unakuwa huzijui hata kutafuta youtube huwezi. tusaidie plz
ReplyDeleteUsijali na msisite chochote mnachotaka kujua nitawajuza krb sana
ReplyDeleteSwadaktaaaaa umenena Dida wapo sn watu hao!!
ReplyDeletewatajibeba mwaka uuu!!!