tag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post4130280512955932199..comments2023-11-20T08:17:37.138+03:00Comments on DIDA MITIKISIKO: NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.DIDAhttp://www.blogger.com/profile/10805379008024996187noreply@blogger.comBlogger31125tag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-87342338237261897162011-05-01T22:07:35.865+03:002011-05-01T22:07:35.865+03:00jamani hvo viatu ni vya kipindi cha winter, hata m...jamani hvo viatu ni vya kipindi cha winter, hata msipokubali habari ndo hiyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-15240528301902731582010-11-18T00:23:41.642+03:002010-11-18T00:23:41.642+03:00hao wanaoleta hivyo viatu bongo washamba ss huku t...hao wanaoleta hivyo viatu bongo washamba ss huku tunavaa wakati wa baridi ikiisha tunaweka stoo,winter mpaka winter.muulize dida joto lake alilionaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-25523611901232211062010-11-17T04:19:28.968+03:002010-11-17T04:19:28.968+03:00Dida, Neno langu liliwachoma hadi mmeamua toa comm...Dida, Neno langu liliwachoma hadi mmeamua toa comment yangu?
ila nashukuru..hii inamaana ujumbe ulichoma mahala husika
sikusema kwa ubaya, ni kupeana tu mawaidha, ndio maana tuna vichwa hadi mighuu.
tusiporekebishana humu, wapi tena?Unknownhttps://www.blogger.com/profile/09264724788305683822noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-73864029935610776382010-11-15T22:51:31.033+03:002010-11-15T22:51:31.033+03:00kweli aloimba uswahilini kuna vituko hajakosea!! h...kweli aloimba uswahilini kuna vituko hajakosea!! hapo alopendeza ni Dida tu,wengine make up utazani majivu! halaf jamani kwanini tusiangalie maumbo yetu tunapoamua kuvaa? kila mtu anauhuru wakuvaa atakacho sikatai,lakini kweli tujiangalie kwanza tukoje!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-53162977468592764492010-11-15T14:18:56.131+03:002010-11-15T14:18:56.131+03:00kama huyo dada alikulea anaolewa leo sasa ana miak...kama huyo dada alikulea anaolewa leo sasa ana miaka mingapi jamani, na wewe ndio ushakuwa shangingi maarufu DARAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-2759045011134748402010-11-15T07:26:41.778+03:002010-11-15T07:26:41.778+03:00dida mimi nitakutafuta kwaajili ya baikoko jamani ...dida mimi nitakutafuta kwaajili ya baikoko jamani naipenda kweli ngoma yangu ya tangaa mambo ya leso heheheeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-14000704559319383362010-11-12T17:58:34.875+03:002010-11-12T17:58:34.875+03:00mhh pole Dida kwa kuweka hizo picha. Kushambuliwa ...mhh pole Dida kwa kuweka hizo picha. Kushambuliwa koooote huko pole bin dadaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-76140840375416662882010-11-12T11:53:24.418+03:002010-11-12T11:53:24.418+03:00kama viatu vya dida ni vya baridi,je mbona madukan...kama viatu vya dida ni vya baridi,je mbona madukani vyauzwa au bongo kuna snow zinadondoka kipindi chake kikifika?acha roho ya kwanini utakua hufanikiwi mzazi.

kama nywele za isha ungezipata wewe ndo ungekua kwenye fashion?she is beuty bila hata hizo nywele ,do ur things let isha does her interest hata akitaka za njano ni yeye we zako za pink zi wapi?acha kashfa maisha mafupi na yana kujichakachua.

mrs salimAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-90711261783045260542010-11-12T11:47:59.266+03:002010-11-12T11:47:59.266+03:00dida siku nyingine bi harusi mpeleke kwa maznat ak...dida siku nyingine bi harusi mpeleke kwa maznat akarembwe zaidi,sisemi kwamba bi harusi hajapendeza ila ili awe tofauti zaidi basi mpeleke huko.

otherwise mmejitahidi sana,big up.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-69499990444534714292010-11-12T11:44:18.953+03:002010-11-12T11:44:18.953+03:00wote mliotoa kashfa nyumba zenu zinawaka moto kwan...wote mliotoa kashfa nyumba zenu zinawaka moto kwani mnaonekana mna nongwa sana,mnaboa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-70697813560249673362010-11-12T11:41:15.105+03:002010-11-12T11:41:15.105+03:00kila mja hufanya kitu chake kwa uwezo wake na anar...kila mja hufanya kitu chake kwa uwezo wake na anaruhusiwa kujiachia atakavyo,nawashangaa mangurumbembe acheni wivu kizuri kisifieni na kama kunasehemu wamekosea kuna jinsi ya kumuelimisha mtu.

wewe unayesema bi harusi kazubaa wewe una achari machoni?

wewe unayesema hajapendeza harusi yako ilikuaje?

wewe unayesema wanajishaua na kikabati cha mchina na pia hela hawana hivyo waache kujinadi,wewe hujawahi tunza kwa rusha roho ki kanga cha india kimoja na sahani za buku za mafungu tena ukalia?

acheni kejeli,kumbukeni ASIYEUMBA DAIMA HAUMBUI.hebu waacheni wale mananasi yao kwanafasi.

mama Rique.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-21784781038575403702010-11-11T15:14:10.262+03:002010-11-11T15:14:10.262+03:00Jamani kwakweli uyo bi harusi hata hajapendeza jam...Jamani kwakweli uyo bi harusi hata hajapendeza jamani, nini sasa kapaka huko machoni, hapana kwakeli lol..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-47041410574651534172010-11-10T20:38:46.198+03:002010-11-10T20:38:46.198+03:00dida tunaomba utuwekee mwimbo wa isha mashauz wa t...dida tunaomba utuwekee mwimbo wa isha mashauz wa tugawane ustaarabu,upload plzzzzzz nampenda sn huyo dada...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-15367055476927259232010-11-10T10:39:54.036+03:002010-11-10T10:39:54.036+03:00Kujishaua koooote zawadi ya kichina!!Lol.Kujishaua koooote zawadi ya kichina!!Lol.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-34160300143171624752010-11-10T09:38:14.865+03:002010-11-10T09:38:14.865+03:00ai,huyo bi harusi kazubaa kama viazi mbatata kweny...ai,huyo bi harusi kazubaa kama viazi mbatata kwenye pilau,na huyo isha mashauzi ndo minywele gani hiyo,naye anajishaua kama vitunguu saumu kwenye pilau anataka aonekane yeye tuu,kama vitunguu saum vinavyotaka kusikika vyenyewe tu kwenye pilau lol.mwatiilishaaaa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-70431121660287662372010-11-10T07:49:16.446+03:002010-11-10T07:49:16.446+03:00Dida wambie wenzako wasichezee FEDHA kwa kujishaua...Dida wambie wenzako wasichezee FEDHA kwa kujishaua kunatisha pesa ni uaribifu acheni michezo ya kijinga kama hiyo kama wanataka kukutunza mwenzenu wekeni kwenye bakuli kisha ziesabiweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-42092241977674869092010-11-10T07:39:03.769+03:002010-11-10T07:39:03.769+03:00Dida wewe ni binti mzuri sana, na umelelewa na mam...Dida wewe ni binti mzuri sana, na umelelewa na mama yako vizuri, lakini hicho kikundi cha MASHAUZI kinakushusha hadhi hakikufai wewe huko juu. ACHANA NA HAYO MAJIMAMA NA MIMWANAUME INAYOJIFANYA WANAWAKE yaani WA.EN.E maliza mwenyeweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-213923707864188482010-11-09T23:54:15.696+03:002010-11-09T23:54:15.696+03:00huyo bi harusi mbona kama kapakwa utomvu wa fenesi...huyo bi harusi mbona kama kapakwa utomvu wa fenesi huko machoni? imekuaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-36829203413170358392010-11-09T19:53:14.885+03:002010-11-09T19:53:14.885+03:00ongereni,lkn mbona zawadi amjatuonesha zote,ukiyav...ongereni,lkn mbona zawadi amjatuonesha zote,ukiyavulia maji nguo sharti uyaoge tuonesheni na vingine zaid ya ilo kabati babu,aihuuuu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-5895616801948502502010-11-09T12:46:21.268+03:002010-11-09T12:46:21.268+03:00Dida naomba undugu kwenye mashauzi Family nimeipen...Dida naomba undugu kwenye mashauzi Family nimeipenda iyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-89575672050488817252010-11-08T22:29:16.360+03:002010-11-08T22:29:16.360+03:00mhhhh hizo make up mnatisha, kila mmoja anamshinda...mhhhh hizo make up mnatisha, kila mmoja anamshinda mweziwe kazi kweli kweliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-69149279473894222792010-11-08T21:18:09.955+03:002010-11-08T21:18:09.955+03:00make up jamani make up muambiweje kiwaimgie kiwaku...make up jamani make up muambiweje kiwaimgie kiwakune HAMPENDEZI KAMA VINYAGO HATA VYA MPAPURE VINA AFADHALI KHAAAA KINYAAAAAAAAAAAAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-26232069307846994742010-11-08T19:53:19.128+03:002010-11-08T19:53:19.128+03:00dida mbona watu wanapenda kukuponda sana?walimweng...dida mbona watu wanapenda kukuponda sana?walimwengu acheni chuki na mwana wa mwenzenu,mara hoooo mnajishaua hela zenyewe hamna jamani kwani iyo kitchenpart uliifanya ww?watu midomo mmepewa na dida kweli unawapa wakati mgumu hasaa wanaokuchukia kitu kidogo washapayuka,mambo yakitchenpart ya dadayake pia yanawauma?mhhhhh kazi mnayooooooooooooooooooooooooodida wachomeeeeeeeeeeeeeeeeeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-14433191415302588392010-11-08T14:54:22.601+03:002010-11-08T14:54:22.601+03:00we dida hivyo viatu si vya baridi?we dida hivyo viatu si vya baridi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-484311867318446282010-11-08T14:16:39.204+03:002010-11-08T14:16:39.204+03:00pendezaa sana nyie.pendezaa sana nyie.Anonymousnoreply@blogger.com