WANAWAKE TUJIAMINI MAANA NAONA WENGI MNAZITUNDIKA ROHO ZENU KAMA FENI BOVU, MNAWASIWASI NA MAISHA YENU YA MAHUSIANO KAMA WAUZA GONGO MNAKIMBIA POLISI JIAMINI UKIJUA KUTONGOZWA JUA KUNA KUACHWA SIO BABAKO MZAZI KUSEMA UMEZALIWA NAE JIFARAGUE MKIMWAGANA MJUE RIZIKI IMEKWISHA ACHENI UWOGA KAMA MNAOGEA NJE MIMI NAFANYA YANGU UWA SIOGOPI LOLOTE...

Tuesday, December 17, 2013 18 Comments

18 comments:

 1. Gazet lote hili?!

  ReplyDelete
  Replies
  1. DIDA NDO NAPO KUPENDAGA JIFARAGUE BABU SI BURE WANAMAPUNGUFU .WANAISHI NA MABWANA/ WAUME ZA WATU WANAISHI KWA UOGA WE JIACHIE KWA RAHA ZAKO WATU WANAKUFA SEMBUSE KUACHANA
   UMEPENDEZA SANA MTOTO WA KITANGA

   Delete
 2. unampigia mafumbo Andunje mwenzio penny.

  ReplyDelete
 3. mwanamke gani asojiamini?mseme dida mafumbo yako hayana maana,penny kayataka wacha yamkute, anataka kushindana na wema kwa kitu gani haswaaaa, ajiangalie vizuri kwenye kiooo.

  ReplyDelete
 4. he! kumbe kweli kaachwa?? si alisema yuko tayari ku share, alikuwa analazimisha penzi. aibu

  ReplyDelete
 5. Hilo nalo neno unanienspire kinomanoma

  ReplyDelete
 6. msg delivered dida, nam siku hiz najiamin mwenzangu coz before nilikua natundika roho yang juu kwa ajil ya mapenz nimeiga mfano toka kwako now am stronger woman wit ma life, love u nyingi nyingi kwako

  ReplyDelete
 7. Umependeza mamii,mi nimependa kigauni chako je vipo hapo dukani kwako unaviuza na kama vipo ni sh ngapi unauza

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nakubaliana na mdau, siingii kila siku humu but honestly kwa siku nazoingiaga humu, leo umependeza sana. Kiroho safi.

   Delete
 8. mi penda wewe dida! mwanaume akikuzingua unatupa kule unavuta mwingine habari ya kuning'iniza roho ishapitwa na wakati

  ReplyDelete
 9. Gaun zur sanaaa....pendezajee....ila ungemfundisha shogako peni huo ujasiri asingepata hii aibu ya ss....we ni strong km sinta tu

  ReplyDelete
 10. maneno umeya2pa mama.
  nimekupenda bureee

  ReplyDelete
 11. Kweli kabisa Dida riziki ikiisha unajiweka pembeni tuache kuwa ving'ang'anizi kwenye mapenzi lo!

  ReplyDelete
 12. Mimi nataka viatu hayo mengine utajua mwenyewe bwana , mtoto huishi maneno kama kasuku mjane haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 13. Nimependa hayo maushauri. Na kweli kwanini tuishi kwahofu

  ReplyDelete
 14. Nakupendaga tu Dida haya maisha kwann ujipe stress. Ukiona hutakiwi unaongea nae akishindwa kuelewa ondoka zko. Kisa cha kujifia nn. Unajizibia bht kwngn hakuuuu haihuuu

  ReplyDelete