NICKI MINAJ AANDIKA KISWAHILI KUFUATIA MSIBA WA MANDELA

Friday, December 06, 2013 0 Comments


First Lady wa Young Money/ Cash Money Brothers Nicki Minaj ameonesha jinsi gani anavyoikubali lugha ya Kiswahili kama lugha inayowakilisha Uafrika.
Nicki Minaj ameandika maneno ya Kiswahili “Madaraka kwa Watu”, na kukizungungushia nyota kikiwa kati ya maneno ya Kiingereza aliyoandika kuonesha jinsi anavyomkumbuka na kumuenzi Nelson Madiba Mandela.


“A complete and fulfilled life of a King. We could never repay you for your dedicated, passionate fight against injustice. We enjoy the very liberties you gave your freedom for. Your legacy will never die. Thank you, and may God bless your soul. ***Madaraka kwa watu***”. Nicki Minaj ameandika kwenye Instagram.

Kiswahili kiko juu..! Mandela apumzike kwa amani.

0 comments: