KAA TAYARI FOR SOME CLASSIC SHOES

Sunday, December 01, 2013 0 Comments

Karibuni Dida Classic Boutique kwa mavazi yote ya kina dada na kina mama. Check na baadhi ya mzigo mpya wa viatu aina kibao, vitakavyo kuwepo dukani kuanzia Jumatano, Insha Allah...

Kwa yeyote atayehitaji kitu chochote vizuri ukiandika kwenye comment weka na namba yako ili tuweze kukupigia... Enjoy!!!

0 comments: