FUNGA MWAKA NA JAHAZI, SHAA PAMOJA NA SHILOLE

Monday, December 23, 2013 1 Comments

Katika kuumalizia mwaka huu wa 2013 tunahakikisha tunaufunga kwa kusugua gaga na kuendelea kukomaa na jiji mpaka mwakani panapo majaaliwa. Tukutane pale Travetine Hotel magomeni siku ya jumapili tarehe 29/12/2013 kuanzia mida ya saa 2 usiku.
Steji kutumiwa na wakali JAHAZI wakiongozwa na MZEE YUSUF ambao watakua wakiwasindikiza SHAA pamoja na SHILOLE kwa kiingilio cha shilingi 8,000/= tu

1 comment:

  1. My Dida i love you so so so much. The confidence in you the talent in you mie wanikosha kweli. I love you to the moon n back. Wanaokusema na kukuombea mabaya ujumbe wao wasubiri mchaka mchaka 2014 coz wataishia kuona vumbi tuuuu kwani baraka za Allah zazidi kukuzunguka.

    ReplyDelete