WADAU WANGU KARIBUNI DIDA LASSIC BOUTIQUE ILIYOPO KINONDONI STUDIO UPATE MAHITAJI YAKO,KILA KITU KWA WANAWAKE KINAPATIKANA KARIBUNI SANA SANA AU MNAWEZA KUNIPIGIA SIMU 0712 775150,HATA UKITAKA JUMLA KWA WALE WANAOPENDA.

Wednesday, January 09, 2013 13 Comments

KAZI NI KWAKO VIPO VINGI SANA,NA SKIN TITE ZIPO ZA KILA SIZE NA KILA RANGI KARIBUNIIIIIIII.

13 comments:

 1. VP prices?tupe price range mumy ili tujipange

  ReplyDelete
 2. dida upo juu wala aina ubishi

  ReplyDelete
 3. POCHI ZINAANZIA SHILINGI NGAPI DIDA ??

  ReplyDelete
 4. Nakupnd daway ulivyo muhangaikaji naomba kuongea naww private mumy if possible.

  ReplyDelete
 5. Maamaaa mwenye mvutooo hv sisi vibonge tunaweza pata nguo hapo jamani? pia mimi navaa kiatu namba nane naweza pata pia?? Asante, Ashura.

  ReplyDelete
 6. Mimi penda bidhaa zako na bei zako si mbaya.

  Mdau ZNZ

  ReplyDelete
 7. nice stuffs dida.hongera sana

  ReplyDelete
 8. pochi bei gn na viatu?yn ww ndo ungetakiwa ulinge sio sintah mshamba wa jiji kila cku na ndege zake za uganda.

  ReplyDelete
 9. mungu akupe nn? kama maisha umeyapatia wenye kununa na wanuneeee,lol..wajua kutafuta sanaaa,ni bora ww kuliko hao wenzio wauza miili yaoooo twasubiri kuwazika mwaka huu,...anyway wataka umaarufu kwa nguvuuuu washindwe na wakomeeeee

  ReplyDelete
 10. ha ha haaa nimeipendaaa hiyoooo...kwa ww uliesema sio sinta na midege ya uganda,..bahati hana uso umemkomaaa kazi kujipendekeza kwa watu ili aweze kutoka,mpyuuuuuuuuuuuuuuu wapiiiiii wambili havai mojaaaaa..

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anatamani kufa kamponda okwi sasa jamaa anakula mshahara wa m20.hata rais wetu hamfikiii

   Delete
 11. Ungekuwa unatujibu sisi wateja wako tunapokuuliza maswali khaaa!

  ReplyDelete
 12. Dida Mpenzi
  natumai umzima, nakupenda sana, nataka kujua kwa sisi wa mikoani tunapataje vitu kama mikoba, viatuzi nk. Mimi napenda sana mikoba.

  Big up mwanamke mwenzangu.

  ReplyDelete