BATA LA MWAKA MPYA KWA MAMAA PENDO WA UKWELI,MAMAAAA YA ULAYA ULAYA,USICHUNGULIE BISHA HODI UBOFYEEEE KWA RAHA ZAKO.

Thursday, January 03, 2013 0 Comments


 Familia moja isiyopenda majungu,Rafiki wa kweli Mungu awape afya teleeeeeee.
 Dida,Ruth mamaaa ya Sweden.

 Mamaaaaaa Pendo Hapana chezea weweeeeee.

 Achia bodi zenu kwa raha zenu,Kwa shida zetuuuuuuu.
 Hapa ndio penyeweeeeee,Ukitaka nicheke kila wakati tenga mlo uoneeeee.

 Saa Sita ilipofika Tulimshukuru mungu baada ya hapo ni kupareeeeee mpk asubuhi.

 Full kujiachia. ALHAMDULLILAH AHSANTE MUNGU WANGU KWA KUUONA MWAKA HUU AMIN.

0 comments: