SIO NDOA ZA SASA ZA KUZEEKA NAO.

Wednesday, December 05, 2012 5 Comments

Chezea miaka hii ya kuchakachuana na kuchukuliana poa,Vimada kila kona kudadadekiiiii hujali maumivu ya mwenzio,Kilio cha Mwenzio na machungu ya Ndoa kila siku,Uvumilivu sawa hatujakataa ila Wakishatuoa wanatuona Vinyago vya Skauti ndani,Mkishaachana anajirudi atajirekebisha na mambo mengi potelea mbali uonekane Hujatulia kuliko JAKAMOYO Na Maumivu kisa ashajua unampenda wale wanaojifanya wana MAHABA Wako wapi?Ngumu kudumu kuna msemi 1;NIPENDE NITAKUPENDA,NITHAMINI NITAKUTHAMINI,UKINIZINGUA NAKUZINGUA SABABU HATUJAJA DUNIANI KUPATA KARAHA TUNATAKA RAHA.

5 comments:

 1. Kweli my dear umeongea ukweli asante nakupenda saana

  ReplyDelete
 2. Me love you sana, mwanamke kujiamini. Ndo raha ya kutokuwa tegemezi kwa mwanaume. Go go go DIDA I support you 100%.

  ReplyDelete
 3. nyoo, ulifikiri ndoa mchezo kama ulivyokua unaigiza kwenye zile tamthilia za ITV? kaa sasa ulee mwanao achana na mambo ya kuolewa inaonekana huna huo wito. najua utaibania hii comment yangu b'se unapenda zile zinazokusifia tu, mi siwezi kukupaka samli kwa mgongo wa chupa nakupa makavu live message sent n delivered.

  ReplyDelete
 4. Achana nae hyo dia...hawa ndo wale wanaopataga vidonda vya tumbo kisa kuvumilia.....go go go dida!

  ReplyDelete