HEY FRIENDS, ITS A BOXING DAY TODAY! I JUST OPEN UP MY BOXES... WHAT ABOUT YOURS?

Wednesday, December 26, 2012 3 Comments

 Mhhhhhhh mutwangio mupya mama nitajiachiaje club?watajibebaaaaaaaaaa.
 Hapana chezea mutoto wa mzee Shaibu,Mwanamke mbishi na anayejiaminiiiiiiii.
 Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mama kisome japo kimoyoniiiiiiiiiiiiiii kitu cha kaba rohooooo.
 Acha nijiachie nikianguka nitajinyanyuaaaaaa bibi.




 Ebwana Ndiooooooooooooooo.
 Ebwana Quality,Imetuliaaaaaa mbayaaaaaaaaaaaaa.
 Mhhhhhhhhhhhhhhhh acha ninyamazeeeee,Nawapenda tu kwa raha zenu kwa shida zaoooooooooo.
Zawadi ya mama iyooooo,jitayarishe kwa kuibeba maana ni hatariiiiiiiiiiiii mamake na didaaaaaaaaaa.

3 comments:

  1. mmm Dida lkn cmu mbona kama mchina? Is it original kweli? All da best lkn

    ReplyDelete
  2. Hata ikiwa mchina inahusu....! mfyuu...

    ReplyDelete
  3. Uwii, viatu siyo vizuri kwa kweli eish!

    ReplyDelete