CLUB 327 YAFUNGULIWA RASMI,MAMBO YALIKUWA JANA BOFYA UONE KUNA KILA KITU NDANI YA CLUB IYO NI FULL KUJIACHIAAAAAAAA.

Thursday, December 13, 2012 2 Comments

 Mtoto wa kike niliwasiri.
 Kwa raha zangu sina shari na mtu.
 Bata na watangazaji wenzetuuuuu.
 Dinnah,Dida na Mariam.

 My Boss Harmy B,Dida.

 Mkali waoooo B12.

 Dida,Kaka Kibonde

 Sehemu za kupumzika ukiwa ndani ya CLUB 327 Inaitwa MOET.

 Zipo sehemu nyingi za kupumzika.


 Nilijipozishajeeee?
 Mandhali ya ndani ya ukumbi patamu sanaaaaaaa.
Mambo ya MENU.

2 comments:

  1. huyo dina nae hilo ndo gauni la kwendea sehemu kama hiyo?

    ReplyDelete
  2. kwa mtindo huo ndio maana ndoa imekushinda

    ReplyDelete