ONYESHO LA KHANGA ZA KALE LAFANA SANA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI

Monday, November 26, 2012 0 Comments

Mgeni rasmi katika onyesho la khanga za kale Mhe. Sophia Simba, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akifungua onyesho hilo kwa hotuba fupi, lililoandaliwa na mwanamitindo Bi. Asia Idarous Khamsin kushoto chini ya kampuni yake ya Fabak Fashion.

Muandaaji wa onyesho la khanga za kale Bi. Asia Idarous akiwakaribisha wageni waalikwa na wadau katika onyesho hilo, lililofanyika usiku wa ijumaa kwenye hoteli ya serena mjini Dar es salaam.

Washiriki wa shindano la Unique Model, wakipita jukwaani kuonyesha vazi la khanga za kale.


Ulifika wakati wa harambee ilinibidi nishike mic kidogo nibonge kizungu mpaka wenye lugha yao walifurahi sana.0 comments: