MAZISHI YA MAREHEMU MPENDWA WETU BI. MARIAM KHAMIS YALIYOFANYIKA NYUMBANI KWAO MAGOMENI FUNDIKIRA SIKU YA JANA SAA KUMI JIONI.

Thursday, November 15, 2012 0 Comments

Waombolezaji wakifuatilia kwa makini utaratibu wa mazishi.

Wakina mama wakiomboleza kwa uzuni mkubwa.


Mwili wa marehemu ukipelekwa makaburini.

Hili ndilo kaburi alilolazwa marehemu Mariam Khamis, " MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI .. AMINA "


Mume wa marehemu akimwombea dua la mwisho mkewe kaburini.

Mtoto wa marehemu.

Mume wa marehemu Mariam Khamis akilia kwa uchungu.

Dida na Isha Mashauzi.

Isha Mashauzi na Suzan mtangazaji wa redio clouds fm.

Mtangazaji wa kipindi cha mitikisiko ya pwani Khadija Shaibu ( Dida ) akitoa mkono wa rambirambi fedha taslim shilingi laki tano ( 500,000/= ) kwa shangazi wa marehemu, akiwakilisha wafanyakazi wenzake na uongozi wa Times Redio 100.5 fm.
0 comments: