KUNA WATU WANAASHUO LA BATA MJINI SHURTI AKINYONYOLEWA UKAE KIMYA .

Tuesday, September 18, 2012 1 Comments

WATU KAMA HAWA WANA ASHUO TU MBELE ZA WATU,KUTAKA KUONEKANA WANAPENDA KUJIPITISHA SANA MBELE ZA WATU ILI NA WAO WAONEKANE NAO WAPO,HIVI HAMUWEZI MKAENDA SEHEMU MKATULIA SEHEMU MOJA WATU WAKASHANGAA KUMBE NA HUYU YUPO?ILA KWA ASHUO LA HAWA WATU KAMA WANASOMA  NAMBA ZA NYUMBA HA HA HAAAAA MMEDODAAA MJINI WALAHI HUWA WANANIUZI SIWEZI KUSEMA SANA BASI MNGEJAALIWA SHEPU,MIGUU KAMA SPOKU ZA BAISKELI WALAHI TULIENI MTAONWA KUJITIA KIMBELE FRONT,KUMBUKENI UMAARUFU BILA PESA NI SAWANA KINGEREZA KINGI BILA PESA YOTE NI MAKELELE.


ATAKAYEGUSWA BYE BYE
MNATUCHEFUA TULIZENI NYONGA ZENU KWENYE WATU.

1 comment:

  1. dida wallah mie huwa unanikuna sana kwa swaga zako,, unajua sana kuwaziba mdomo visokorokwinyo, yani napenda sana confidence yako, fagilia sana wewe, yani kila siku lazima nicross kwa blog yako kukucheki jinsi unavyotema cheche, mwanamke kujiamini bwana, wakuache miaka 199

    ReplyDelete