KIKOSI CHA TIMES FM NDANI YA BAGAMOYO TULIICHAPA 5-2 CHEZEAAAAA TIMES WEWEEE UTATELEZAAA.
Tukiwa ofini kujiaandaaa na safari ya bagamoyo dida na Adam mzee wa vijimambo.
Hapa amani teleeeeeeeee vidole vinamaanisha.
Chezea mtoto wa kitanga full swagga.
Bwagamoyoooo
Dida,Mona.
Dida,DjQ,Mona.
Hakuna mwembambaaaaa.
Hatareeeeeeee.
Aaaaaaaa mona weeeee.
Full masanga.
NO Diet.
Wachezaji wa Times Fm.
Wachezaji wa Bagamoyo
Nilizungukwa na mashabiki hatari,
Namshukuru sana mungu kwa kipaji alichonipa.
Nikisalimiana na mashabiki mungu mkubwa sana,unaweza kuchukiwa na wachache kumbe kuna wanaokupenda mpk wanadata juu yako,
Kushoto Big boss Rehule Nyaulawa,PM Harmy b,Mdau,Gadna G.
MASHABIKI
Dida mamii hv savanna inaongeza unene
ReplyDeletelove ur lipstic hun big fan al the way from kenya
ReplyDelete