WEEKEEND SPECIAL

Monday, August 27, 2012 0 Comments

Nikiwa kwenye pozi na nafanya diet ya kufa mtu,Mtoto nitafika tu malengo mwanamke kujiamini.
Matokeo nayaona wa sasa niko hivi mpaka niwe na kilo 58 kwa sasa nina 62.
Jamani Hashimu mwenzio hata nivae magongo sikufikiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiiiii pata picha ni kama nani na nani?

0 comments: