SNOOP DOGG KUJIITA SNOOP LION.

Sunday, August 05, 2012 0 Comments


Kwenye mkutano aliofanya na waandishi wa habari nchini Jamaica Snoop Dogg alitangaza kubadilisha jina lake na kuanzia sasa kujiita SNOOP LION. Pia kutengeneza mziki wa reggae ambao amekuwa akiufeel tangu zamani ila sasa ameamua kuwa serious zaidi.

0 comments: