SALAMA INTERVIEW @ EBSS DAR

Saturday, August 04, 2012 0 Comments

      ....................................yaliojiri katika siku ya tatu ya usaili kwa mkoa wa Da-es-Salaam. Majaji wamewaona zaidi ya washiriki 4000 kwa mkoa wa Dar-es-Salaam pekee. Jana majaji wamewaona washiriki wapya na wale waliokuja kufanya usaili round ya pili ili wachujwe kupata wawakilishi wa Dar. 


 Majaji wamewapata washiriki watakao iwakilisha Dar kwenye 50 bora ya Epiq BSS mwaka huu. Pia majaji wametamka kuwa kundi la washiriki walokuja kwenye usaili Dar-es-Salaam ni kubwa kushinda miaka yote iliyopita. Shughuli ya uchangiaji wa damu umeendelea vizuri.   

0 comments: