MSAUZI KEEGAN ASHINDA BBA STARGAME 2012

Monday, August 06, 2012 0 Comments


Mshiko wa  $300,000 (million 480) siku ya jana ulienda kwa msauzi Keagan, baada ya kuwakalisha house mates wenzake watano Lady May kutoka Namibia, Wati kutoka Malawi, Kyle kutoka Uganda, Talia wa Zambia na Prezzo.waliokuwa wamebaki kwenye jumbo hilo.

Mshindi wa pili PREZZO Kutoka Kenya.

0 comments: