TULIPOTEMNBELEA WATOTO YATIMA. JAMANI TUKIPATA NAFASI TUWATEMBELEEWATOTO YATIMA,BOFYA UONE

Tuesday, August 21, 2012 0 Comments

 Tukiwa tunajiaandaa kuelekea kituo cha tandale   Bilal,Isha na Dida.

 Nikiwa na mtoto jamani inasikitisha sana sana.
 Mama yetu Bi Rukia jumaa Akiwa na mama mlezi wa kituo icho.
 Wanakolala Watoto Hawa.
 Dida,Isha tukisubiri DUA.
 Baadhi ya watoto yatima.


Ishallah na wengine mpate moyo wakwenda kuwatazama.

0 comments: