HUU MWEZI KWANI NAUHESHIMU KULIKO KITU CHOCHOTE,MUNGU ANIPE SUBIRA ZIMEBAKI SIKU KUMI TU ISHALLAH

Thursday, August 09, 2012 7 Comments

KWA WADAU WANGU MIMI NI BINGWA SANA WA MIPASHO NCHINI TANZANIA, ILA HUU MWEZI HATA MTU AKINIPIGA MTAMA MIMI NINA SMILE TU,NAMUHESHIMU MWENYEZI MUNGU SASA ISHALLA TUOMBE MUNGU UISHE JAPO TUWE NA SUBIRA,VIDOLE VINANIWASHA,MDOMO UNANICHEZA KAMA KUKU MWENYE KIDELI ILA SINA MENGI NAWATAKIA KILA LAKHERI ANAYEKUTENGU UDHU KWA SASA MTIZAME TU KAMA SANAMU YA ROUND ABT POSTA FANYA YAKO WALAHI SIKU CHACHE TU ZIMEBAKI.


NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA.

7 comments:

 1. A.ALEIKUM DIDA SAMAHANI NIKUULIZE KWA ROHO NYEUPE NA MOLA SHAIDI KWANI DIDA UNAFUNGA? NA KAMA UNAFUNGA KISHERIA YA DINI HAISWII SABABU UMEFUNGA NDOA NA DINI NYINGINE I MEAN UNAZINI LABDA UWE HAUISHI NAE NYUMBA MOJA KWANI SHERIA YA DIN YETU YA KIISLAAM HAIRUHUSU KABISA.

  ReplyDelete
 2. Ilo neno mdau hapo juu .sijui unafungaje Huku unaisha namtu asokuowa kihalali!? Au mmepeana Lilkizo

  ReplyDelete
 3. Dida Dida muogope Mungu mie sidhani kama unafunga kweli, yaani wewe ulipombeka vibaya wakati mwezi umeandama na kesho yake watu wanaamkia swaumu, vaa tu baibui na madira kwa sana lakini hakuna swaumu yoyote

  ReplyDelete
 4. TENA NYIE MNAOJISHAUA KUBAGUA WENZENU ETI HAISWII KISA KAOLEWA NA MKRISTO,ACHENI UBAGUZI NA UDINI WASHENZI WAKUBWAA ,,NYIE NDIO WALEWALE WANGA WACHAWI WANAFKI WAUAJI MBWA NYIE MNAINGILIA MAISHA YAWATU TENA MKOME KABISA WANAFKI WAKUBWA WACHAWI VIBAKA WAKUBWA NYIE,IMENIUMA SAANA MANA MIMI NIMKRISTO PIA NAPIA NIWAKRISTO WANGAPI WAMEOA WAISLAMU PIA,. ACHENI UBAGUZI NA UDINI WASHENZI NYIE MLIOTOA COMENT HIZOMBILI HAPOO JUU.TENA MUACHEKABISAA NAMKOME NYOKOO NYIE NYAMAFU,MNAJIDAI MNAJUA SAANA DINI WANAFKI WANGA TUU NYIE MASHETANI WAKUBWAA,MUACHENI DIDA NAMUMKOME MSINGILIE MAISHA YANDOA ZAWATU NYIE NDOMWAONA MNAJUA SAANA WANAFKI NYIE NYOKONYOKOYOKONYIE MMENIUDHI SAANA

  ReplyDelete
  Replies
  1. waambie wamezidi Mungu ndio anyejua eeeh yani nyie watu cjui kwann udini unawaandama hivyo mweeh! hv unavyomnyooshea mwenzio kidole we upo kamili kila idara kwann usiangalie swaumu yako na Mungu wako unaangalia na kuhukumu wengine? hukumu ipo kwa Mungu waone macho kodo kuangalia ya watu.

   Delete
 5. wewe unayesema umemkuta anakunywa pombe nadhani humjui vizuri na angalia sana usiparamie treni kwa nyuma na kujifanya mpiga debe kila mtu unamjua sana natumai unanielewa nn namaanisha muache yeye na maisha yako fata yako nyooooooooooooooo

  ReplyDelete
 6. MAKUBWA WALAHI HAYA KAZI KWAKO WEWE UNAYENIJUA ZAIDI

  ReplyDelete