YALIYOJIRI KATIKA KUTAFUTA WASHIRIKI WA EBSS LINDI, A-TOWN KAENI TAYARI

Monday, July 02, 2012 0 Comments

KUNDI LA WASHIRIKI WAKICHUKUA PICHA YA PAMOJA WAKATI WAKISUBIRI KWENDA KUWAONA MAJAJI

Usahili kwa mkoa wa LINDI umekamilika, na Washiriki watano watakaoiwakilisha Lindi wamepatikana. Tumeshughudia washiriki wengi wakilia wengine kwa furaha na wengine kwa huzuni. 
 
 Wikendi ijayo tutakuwa Arusha Club Triple A kwa ajili ya usahili Julai 7 na 8.

SALAMA, MASTER J AND RITA PAULSEN KWENYE JUKWAA LA MISS LINDI 2012 KUSEMA MACHACHE KUHUSU MASHINDANO  HAYO 
 
MISS LINDI 2012 AKIONESHA KIPAJI CHAKE CHA KUPIGA "SAXOPHONE".

MADAM RITA PAULSEN, AWAICHI MAWALLA WA  ZANTEL NA RANJIT WA ZANTEL WAKIWA KWENYE MISS LINDI 2012


MASTER J AKIMTUNZA SUMA LEE WAKATI SUMA LEE AKIIMBA WIMBO WAKE MAARUFU  "CHUNGWA" KWENYE JUKWAA LA MISS LINDI 2012.

MTANGAZAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, CAESAR DANIEL AKIJIANDAA KUWAHOJI KUMI BORA WA LINDIMARIA MTANDI NA SAID LIPONDA WAKIPIGA POZI KWA AJILI YA PICHA WAKISUBIRI KUINGIA KUWAONA MAJAJI.

MADAM RITA PAULSEN AKITOKA KUONGEA NA WASHIRIKI WALIOSHINDWA KINGIA KWENYE TANO BORA YA LINDI AKIWASHAURI KUENDELEA NA MUZIKI 

WASHIRIKI WAWILI WAKIFANYA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KUINGIA KWA MAJAJI

MWAKILISHI WA TAASISI YA KUCHANGIA DAMU SALAMA, DESTERIA NANYANGA, AKIWAELEZA WASHIRIKI KUHUSU UMUHIMU WA KUCHANGIA DAMU NA KUWAPA TAARIFA ZOTE MUHIMU KUHUSU UCHANGIAJI WA DAMU

KUNDI LA WATOTO NA WATAZAMAJI NJE YA GETI YA BWALO LA POLISI 

WASHIRIKI WAKIPEWA MAELEZO KUHUSU USAHILI 

WASHIRIKI WAKIPANGA MSTARI KUCHUKUA NAMBA ZAO ZA USHIRIKI
Judges: Madam Rita, Master J na Salama

Mshiriki akiwa anaimba mbele ya majaji

Master J akiwa anatafakari

Washiriki wakiwa wanasubiri zamu yao

0 comments: