TULIPOKUTANA WAJASILIAMALI,WANAWAKE WATAFUTAJI TULIAMUA TUTOE STRESS ZETU KWA KUJIPA RAHA MJINI.

Tuesday, July 17, 2012 2 Comments

Kama mnavyotuona kila mtu anabiashara zake no umbea na majungu yasiyo na kichwa wala miguu,Hapo tunazungumzia tufanye nn ili tuinuke zaidi.
Bi hindu alikuwepo kwa ajili ya kutupa mawili matatu kwa raha zetu baada ya hapo ni kula kunywa na kubadilishana mawazo ooooh sijui nani kavaa nini ana nini mjini?Anatembea na bwana gani?kafumaniwa na nani haituhusuuuuu sie busness tu.
Daje Kushoto mmiliki wa maduka kinondono,Gim,Magari ya harusi pale urafiki na mpambaji maharusi jijini,Mama Hekima kulia mmiliki wa Petro Station kadhaa mjini chezea Alonacho kajaaliwa.
Daje akijitambulisha na Mjini anashughulika na nini,Kage kushoto au Mama Hekima.
Nikielekeza kitu cha kufanya mtoto kidole na machoeeeeee.
Dida,Bi Hindu ndani ya pozi.
Kila mmoja akijitambulisha lkn wakati huo kuna SACCOS ya wanawake kusaidiana ikizungumziwa,wale wenye vijiba vya roho na kusema wenzao wanavijibiashara yeye mchezea pembeni hapo alipo hana alilonalo mtasema mpaka povu la mdomo liwatoke wenzio dama mbeleeeeeeeee.
Wakati wa msosi honeyyyyyy nae ananipigia lol.
Hapo nami nikijafaragua kwa raha zangu japo kidogo changu, Sidhuliki na majungu namshukuru allah na body niliyokuwa nayo ndio inanipa ujiko mjini sina shaka na wala siumbuki kwa uwezo wake nikajipaka mawese.

2 comments:

  1. Ushaauri wa bure.Dida pamoja na jambo la msingi lilowakutanisha wanawake watafutaji.Ila swala la mavazi huwaunachemka sana hujui nini uvae kwa wakati gani hebu pumzika na nguo fupi na hivyo viatu vipe likizo kidogo.kazi njema

    ReplyDelete
  2. hongereni kwa hilo, ila mimi nimependa nguo yako Dida na mwili wangu unalingana na wako niambie kama dukani kwako zipo au umeipata wapi mdada.

    ReplyDelete