NAWASHUKURU SANA MR NA MRS MAPUNDA KWA KUNIJALI NA KUPENDA KAZI YANGU REDIONI,MUNGU AWABARIKI NA NINAWAPENDA SANA.

Saturday, July 21, 2012 2 Comments

 Dida,MR&MRS Mapunda walivyotembelea studio za Times Fm 100.5 na sababu ni wasikilizaji wakubwa wa kipindi changu na nimekuwa mmoja wa familia yao kwa sasa,Nawashukuru na nawatakia maisha marefu ya ndoa yenu,Mzidi kupendana kama mlivyo sasa,MR Mapunda yuko Bandarini na Mama Mapunda yupo Manispaa ya Kinondoni Shukrani sana.Wakinikabidhi zawadi NANI AMENUNAAAAAA........SINTAAAA.

2 comments:

  1. HORIA MAPUNDA MZEE WA BANDARI UKO JUU

    ReplyDelete
  2. Dida nataka tu kujua unachopaka na mie nijitupie humo maana?????au niulizie kwa classmet wako mandido roho

    ReplyDelete