MCHAKATO WA KUSAKA VIPAJI EBSS TANGA.

Sunday, July 29, 2012 0 Comments

Mchakato wa kusaka vipaji siku ya Jumamosi tarehe 28 na 29 Jumapili Zantel Epiq Bong Star Search uliofanyika katika ukumbi wa La Casa Chika jijini Tanga. Majaji wameonekama kufurahishwa na vipaji na kuamua kuchukua watu sita badala ya watano ambao wataenda Dar es salaam kuiwakilisha Tanga. Zaidi ya washiriki 800 walijitokeza katika usaili wa mjini Tanga. Usaili utaendelea tena tarehe 1 mwezi Agosti katika eneo la Coco Beach Dar es salaam. 
Nipeni fomu NIKAFUNGUKE!


Tayari kabisa kwa KUFUNGUKA kama isemavyo kauli mbiu ya EBSS 2012!
Majaji wakifanya kazi yao

0 comments: