MAJAJI WA EBSS WALIPOTEMBELEA SABASABA BANDA LA ZANTEL JANA

Thursday, July 05, 2012 0 Comments

 
 MADAM RITA NA SALAMA J WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA


MADAM RITA AKIKARIBISHWA KWENYE BANDA LA ZANTEL NA MKUU WA MASOKO BW. DEEPAK KUMAR GUPTA.

 

                                                                 SALAMA J AKIPIGA PICHA NA MSHABIKI WAKE.  
MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO.

MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA ZANTEL

MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA

MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILIOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI.

MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTELSALAMA J NA MASTER J WAKIPEANA MIKONO NA WANAFUNZI AMBAO WALIKUWA NJE YA BANDA YA ZANTEL            
UPENDO ERNEST AKICHUKUA FOMU YAKE YA USAJILI KWA AJILI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH.

0 comments: