Isha Mashauzi aka Jike la Simba katua Bongo Jana

Thursday, July 19, 2012 2 Comments


Isha Mashauzi aka Jike la Simba baada ya ziara yake ya Europe sasa akirudi bongo kwaajilia ya kazi moja tu kuwapa mashabiki wake vile vitu ambavyo ametoka navyo huko majuu. Pichani ni Isha Mashauzi akiwa na promota wake anayekwenda kwa jina la King James pamoja na friend wao

BongoStarLink

2 comments:

  1. Unatisha Isha! Nakupa Bigup

    ReplyDelete
  2. watibu hao mwanamke jasiri wewe,uwezo sina ningekuamishia angani na familia yako,wachome haswa bibie,kwaniiiiiiiiiiii

    ReplyDelete