CHEZEA CHINA... WANYAKUA MEDALI YA KWANZA YA DHAHABU OLYMPICS 2012

Sunday, July 29, 2012 0 Comments

Medali ya dhahabu kwanza ya michezo ya Olympics London 2012 ambayo ndiyo kwanza imeanza imeenda China baada ya Yi Siling kutoka nchi hiyo kushinda kwenye mchezo wa Ufyatuaji risasi (women's 10-meter air rifle).

0 comments: