BAADA YA KUDONDOKA BONGO JANA ISHA ALIDONDOSHA BONGE YA SHOW NDANI YA MANGO GARDEN na MASHAUZI CLASSIC

Thursday, July 19, 2012 1 Comments

 Mkurugenzi wa Mashauzi Classic Isha Mashauzi akiwajibika ndani ya Mango Garden Kinondoni ambapo bendi yake hutumbiza kila siku ya Jumatano, hii ilikuwa ni mara baada ya kuwasili kutoka ktk ziara yake ndefu ya nchi za ng'ambo ya mbali


 Hawa sio wanawake jamani! ilikuwa bonge la kiburudisho, kila mmoja akijishebedua kwa wakati wake na raha zakeeee


1 comment:

  1. NDUGU,let me tell u de truth try 2 b selectv in dressn

    ReplyDelete