HIVI NDIYO MAJAJI TULIVYOUMIZA VICHWA KUMPATA MISS DAR INTER COLLEGE BOFYA.

Monday, June 25, 2012 3 Comments

 Hilda edward ndiye aliibuka mshindi.

 Diamond altumbuiza kama kawaida yake.
 Aliimba Nampenda Mpenda Watu Wemaaaaaaaaaaaaaa  yatakamoyo mjini.
 Muda mwingine tulikuwa tunadata tu.

 Majaji wakutumainiwa mpaka bungeni tunakodishwa pia ha ha haaaaaaaa migunojeeeeee.
Dida na jaji mwenzangu Martin kadinda shughuli tuliiweza .

3 comments:

  1. hongeren mlipendeza wakununa wapasuke

    ReplyDelete
  2. mimi penda sana wewe DIDA..roho yako nyeupe kama KIOO..achana na watu wenye roho mbaya..cheki mlivopendeza na WEMA wote mna roho nzuri sana..big up..usiige roho ya YA MTI WENYE MATUNDA..anapigwa vita kila blog anatukwana embu kaa nae umpe ushauri jinsi ya kuishi..kwani hakuoni wewe??ANATAFUTA MABIFU NA WATU SASA IVI KAMVAA MR NICE...

    ReplyDelete
  3. mlipendeza sn dida na nimependa ulivyovaa ulipendeza sn yaan uwe unatoka ivyo ivyo

    ReplyDelete