EBSS ILIVYOFANA ZANZIBAR JANA, WIKIENDI IJAYO USAHILI UNAKUJA LINDI......

Monday, June 25, 2012 0 Comments

 MSHIRIKI AKIJARIBU KUPIGA NGOMA

Baada ya washiriki wa5 kupatikana jana ktk usahili wa EBSS upande wa ZANZIBAR, sasa timu ya EBSS wikiendi hii itakuwepo LINDI kuanzia jumamosi ya tarehe 30 June na Jumapili ya tarehe 1 July POLICE OFFICER'S MESS.

 Fomu zinatolewa BURE kabisa katika maduka na ofsi za Zantel, umri wa kushiriki ni miaka 16 na kuendelea...... Jitokezeni kwa wingi wasanii kutoka Lindi huu ndio wakati wenu kuonyesha kipaji, kumbuka kuna zawadi ya Tshs milioni 50 kwa mshindi.


 MSHIRIKI MMOJA AKIWACHANGAMSHA WENZAKE
WASHIRIKI WAWILLI WAKITUPA FLEVA KIDOGO

WATOTO WALIOKUJA KUWAPA WASHIRIKI BURUDANI


 WASHIRIKI WAKIPIGA SOGAAWAICHI MAWALLA WA ZANTEL AKIIMBA KWA AJILI YA MAJAJI
WASHIRIKI WAKISIKILIZA KWA MAKINI MAELEZO WANAYOPEWA

 WASHIRIKI WAKISUBIRI ZAMU YAO MBELE YA MAJAJI
MADAM RITA AKISIMAMA KUMPONGEZA SALMA YUSUF KWA KUIMBA VIZURI
MSHIRIKI WA KWANZA KUFIKA KWENYE USAHILI NGOME KONGWE, SALMA YUSUF AKIWEKA GUITAR YAKE
MSHRIKI TOKA DODOMA, DAYNA BROWN AKIJARIBU KWA MARA YA PILI HUKU ZANZIBAR.

WASHIRIKI WAKIFANYA MAZOEZI YA KUIMBA KABLA YA KWENDA KWA MAJAJI

MSURURU WA WASHIRIKI WAKIFANYA USAJILI KWA AJILI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH

MHIRIKI AKIPOKEA NAMBA YAKE YA USHIRIKI

0 comments: